Je? unasumbuka kupata wateja mtandaoni

 Je unasumbuka kupata wateja mtandaoni?

je umekuwa ukisumbuka kila siku kushare matangazo yako bila faida ?

suluhisho lipo hapa 

Tutakuwezesha kuwa na blog ya biashara itakayokusaidia kuuza bidhaa zako na ujuzi wako mtandaoni 

Blog tutaiunda na kuilink na google search hivyo wateja wakisearch kitu mtandaoni wataletwa moja kwa moja kwako ,bidhaa zako zitapandishwa juu automatic hivyo utawafikia walengwa wengi 

Biashara zimekuwa na ushindani mkubwa sana ,inakupasa kuwa tofauti na watu wengine ili uweze kupata wateja na kuliteka soko kubwa ,wauzaji wengi wamekuwa wakijikita kwenye makundi ya whatsapp na kurundikana huko ,kila mmoja akiwa muuzaji ,wengine wamekuwa waki sponser  matangazo facebook na instagram  hizi  sio njia za uhakika ,japo zinamatokeo asilimia kadhaa

Blog itakukutanisha na wateja serious ambao wapo tayari kununua ,kivipi? blog itawekwa katika mfumo ambao mteja akisearch mwenyewe bidhaa automatic ataletewea blog husika

Blog zimekuwa zikiundwa kwa gharama kubwa sana mitandaoni au kwa wataalamu (IT) leo niko hapa kukusaidia kumiliki blog yako kwa gharama ndogo kabisa ya sh 60,000

Utapata blog iliyokamilika kila kitu na utaweza  kuuza bidhaa zako vyema pia utaaminika sana mtandaoni kwani utakuwa rasmi zaidi

WASILIANA NAMI LEO

0621723709

0764986215

Bonyeza hapa kuwasiliana nami whatsapp