IJUE SPONSERED ADS NA FAIDA ZAKE

SPONSERED ADS   

Ni mfumo wa kulipia matangazo mtandaoni ili kukuwezesha kufikia wateja  wengi                                                                      

UNAHITAJI NINI ILI UWEZE KUFANYA SPONSERED ADS

Jambo la muhimu kabisa ni kuhakikisha kuwa una ukurasa wa facebook au instagram ambao utautumia katika kusponser matangazo yako ya biashara

NB.Tutakuwezesha kukuundia ukurasa maalumu katika kutangaza biashara yako       

FAIDA ZA SPONSERED ADS

Itakupa uwezo wa kutangaza biashara yako kwa uwanda mpana

itakukutanisha na aina ya wateja unaowahitaji   

   

 GHARAMA 

Gharama ya kukuwezesha kufanya mchakato mzima wa Kuboost ads ni Tsh 25000/= hii ni gharama ya kufundishwa kufanya  mbali na gharama ya kulipia matangazo ambayo unaweza kulipia kiasi kidogo kabisa kwa siku kuanzia dola moja 

Malipo yanaweza kufanyika kwa kutumia Master card,credit card,Mpesa nk...

BONYEZA  HAPA kuwasiliana nasi