UZA UJUZI WAKO MTANDAONI

Je upo na ujuzi wowote wa maisha ,kipaji chochote ulichojaliwa na mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu ni mwema ,amejalia kila mmoja wetu kipaji na karama mbalimbali 

Je ujuzi wako ni upi?

Wewe ni msanii wa mziki

je wewe ni mchoraji

je wewe ni mtunzi wa simulizi 

je wewe ni muhubiri

je unakarama ya kufundisha na kuelimisha 

je wewe ni mwalimu

je wewe ni designer,mwanamitindo ,mshonaji ,mpishi nk............

Zipo fursa nyingi sana na ujuzi wa kila namna nimetaja kwa kifupi ,ila kila mmoja wetu anakipaji ambacho Mungu amemjalia kuwa nacho 

Je unatambua kuwa kipaji na ujuzi wako ni fursa kabisa itakayoweza kukutoa kimaisha au kugeuza maisha yako na kukufanya uweze kujiajiri 

wengi wamejikatia tamaa na maisha haya hali wamelalia vipaji na ujuzi wao 

Leo nipo hapa kukufungua na kukwambia ujuzi na kipaji chako ni pesa 

Unaweza kuuza ujuzi wako mtandaoni na kujipatia fedha 

kivipi?

Unaweza uonyesha watu ulichonacho mtandaoni na kuingiza kipato ,kwa kuweka ujuzi wako katika blog utafikia wengi na pia utalipwa kwa kila mtembeleaji wako 

BOFYA HAPA kuweza kusoma somo letu la nyuma ni kivipi blog itakulipa na kukusaidia kujinasua 


Pia unaweza kuweka ujuzi wako katika mfumo rahisi ambao unaweza kuuza mtandaoni 

yapo makundi ya whatsapp ,telegram nk...unaweza andaa kundi lako na kutoa elimu huku ukiwatoza watu gharama kwa ajili ya huduma 

Pia waweza andaa vitabu kwa mfumo wa PDF na kuwauzia wateja na watu wanaotamani kupata mafunzo 

Swali ni hili 

Jinsi gani utapata wateja kwa wingi mtandaoni 


BOFYA HAPA Kujua ni jinsi gani utapata wateja mtandaoni 


kwa mawasiliano zaidi 

0621723709

BOFYA HAPA kuwasiliana nami whatsapp