IJUE BLOG NA FAIDA ZAKE

 Na,Mwl Joshua

0764986215/sms/call

0621723709 whatsapp

Watu wengi wamekuwa na maswali mengi kuhusu blog 

Blog ni nini?

Faida za blog?

Kivipi blog inamlipa mtu?

Jinsi gani nitalipwa kupitia blog?

Kwa namna gani ninaweza kuwa na blog?

Leo nipo hapa kukujibu maswali yote ,ungana nami katika hatua zote kujifunza na kuelewa ,naamini makala hii itabadili maisha na mtazamo wako ,nakukupa kuziona fursa  mitandao kwa jicho pevu

Je Blog ni nini?

Blog ni tovuti/ukurasa wa mtandaoni unaomwezesha mtu kuweka mawazo yake,maarifa yake,ujuzi wake na kufikia watu wengi ,Blog ina uwezo wa kukutangaza na kufikisha wazo lako kwa maelfu ya watu ,zipo blog za aina tofauti tofauti ,Blog za biashara,fursa,habari,mziki,na vipaji mbalimbali

Najua sio mara moja umekuwa ukiperuzi na kujaribu kutafuta masuala mbalimbali kutoka katika mtandao wa ``Google''  baada ya kutafuta/kusearch umekuwa ukielekezwa katika tovuti mbalimbali ,hizi ndio blogs za mitandaoni

Tuangalie faida za blog

1) Blog  itakutambulisha kwa watu

2) Blog itakupa kuaminika

3) Blog itakuza brand/jina  lako

4) Blog itakulipa kwa kila mtembeleaji wako

5) Blog itakukutanisha na watu tofautitofauti

6)Blog itakuongezea wateja/wanunuzi /walaji wa huduma yako

Hizi ni faida za blog kwa uchache ila yapo mengi tunayapata kupitia blog


Ki vipi blog inamlipa mtu?

Na ujasiri pasi na shaka kulieleza hili kwa umakini kwani kupitia blog nimeona maisha ya wengi yamebadilika ,mfumo wa blog kwa asilimia kubwa sana umewasaidia vijana wengi na watu marika yote kujinasua kiuchumi 

Mmiliki wa Blog anapewa nafasi ya kuingiza kipato kwa kuruhusu ads/Matangazo ya makampuni mbalimbali yanayotoa huduma mbalimbali kutangaza ndani ya blog ,matangazo haya yanapatikana kwa kila mwenye blog kama atatamani yatokee nani ya blog yake ,yapo makampuni mengi kama vile 

adsence,adsterra,propela, nk ambayo yanatoa nafasi kwa miliki wa blog

Mmiliki atalipwa kwa kila mtembeleaji na kila atakayebonyeza tangazo la kampuni husika 

Mifumo ya kupokea malipo kutoka kwa blog ni mifumo tofauti ,kama vile ,Bank,Paypal/Mpesa ,webmoney,westernunion mk...... ni mifumo rasmi na fedha zako utalipwa kwa uaminifu mkubwa haijalishi umezalisha kiasi gani

Binafsi wako vijana wengi niliowaundia blogs kwa siku wanatengeneza hadi dola 20 hadi 30 ambazo ni fedha nyingi kabisa za kutosha kujikimu na kuendeleza gurudumu la maisha 


Jinsi gani unaweza kuwa na Blog

Huduma ya kutengeneza blog inapatikana katika maofisi mbalimbali yaliyopo sehemu mbalimbali nchini  kwa gharama nafuu mbalimbali

kupitia ofisi hizi unaweza fika na kutengenezewa Blog yako ambayo imekamilika ili usipitwe na fursa hizi 

Kwa wale ambao mnatamani kumiliki Blog mnaweza wasiliana nami moja kwa moja kupitia namba zangu za whatsapp na namba zangu za kawaida ni ruksa kupiga au kutuma ujumbe

Huduma ya kutengeneza tovuti za mtandaoni nimekuwa nikiifanya mtandaoni kwa uaminifu mkubwa wengi wamefanikiwa kupitia kazi za mikono yangu 

karibu leo nikuundie blog yako uweze kujikomboa kiuchumi ,Blog hii itakuwezesha kupata faida lukuki kama tulivyoziorodhesha hapo juu

BOFYA HAPA  kupata huduma ya blog 

0764986215/sms/call

0621723709 whatsapp


Unaweza kusoma makala ya nyuma  kuelewa zaidi kuhusu hili  SOMA HAPA......